Burudani

Vazi la Mke wa Kanye West lazua gumzo Japan

Katika hali iliyoshangaza wengi, Kanye West na mkewe Bianca Censori wamewasili nchini Japan huku mke wa Rapa huyo akiwa amevaa vazi la kujistiri tofauti na wengi walivyomzoea.

Vazi alilovaa Bianca ndio limekuwa habari kubwa kwa vyombo mbalimbali vya habari duniani hasa kutokana na mazoea aliyonayo ya kuvaa nguo za “nusu uchi” kila anapoonekana.

Hii ni mara ya kwanza kwa Bianca kutengeneza Vichwa vya Habari kwa muonekano wake ambao haujazoeleka.

Wawili hao wako mapumzikoni Japan ikiwa ni siku chache baada ya kuonekana nchini Italia.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents