Habari
VIDEO: Ahmed Ally atoa tamko kuhusu Mabango ya Yanga
“Siku hiyo tukawaonyeshe sisi ni mashabiki bora kwa kuja wengi uwanjani. Lakini pia tuna wajibu wa kwenda kuipigani Simba yetu. Pamoja na yote uliyonayo moyoni lakini wewe ni shabiki wa Simba, ukisusa maana yake unainunia Simba yako.”