Afisa Habari wa Klabu ya Yanga ametanga ‘Suprise’ kwenye mchezo wao wa Ligi Kuu dhidi ya Namungo FC siku ya Jumatano.
Kamwe amesema kuwa ‘Suprise’ hiyo itatokea dakika ya 12 kipindi cha kwanza cha mchezo huo