Burudani

Video: Alikiba yupo sahihi kwa muda wake – Aslay

Msanii wa muziki @aslayisihaka kutoka lebo ya @rockstarafrica amefunguka kuzungumzia amejifunza nini katika kuondoka kwa @officialalikiba katika lebo hiyo yenye uzowefu mkubwa katika kusimamia muziki.

Muimbaji huyo ambaye tayari ameachia nyimbo 3 baada ya ukimya wa muda mrefu, amedai kwa sasa yupo sehemu sahihi na hakuzungumza chochote na Alikiba ambaye aliondoka katika lebo hiyo kwa kuwa kila msanii ana malengo yake.

Aslay amedai kwa sasa anakiu ya kufanya mambo makubwa kwa kuwa alikuwa kimya kuwa muda mrefu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents