HabariMichezo

Video: CEO Barbara aikataa Mic yenye logo ya Njano  

Klabu ya Simba leo Agosti 3, 2022 imemtambulisha mdhamini mpya wa siku ya Simba Day ambaye ni Benki ya CRDB.

“Tunawashukuru CRBD kuwekeza kwenye Simba Day, najua huu ni mwanzo. Tunatamani siku moja kuwaona hata kwenye jezi. Baada ya Simba Day kuna CRDB Marathon na sisi tutashiriki.”

“Hata kama kampuni haina rangi nyekundu, tuko tayari kufanya nayo kazi, tunaheshimu brand, hatuwezi kubadilisha rangi ya logo yao.”- CEO Barbara Gonzalez.

Kwa upande wake Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB, Abdulmajid Nsekela amesema “Tumeona lazima tuwe wadau wa siku hiyo kwa kuwezesha kwa kuwa wadhamini ili kamati ya maandalizi ikamilishe malengo ya mipango ya siku hiyo. Na huo ni mwanzo tu.”

Wakati akikaribishwa kuzunga CEO Barbara alikabidhiwa Mic yenye logo ya Njano na kuikataa kisha kupewa Nyekundu ambayo ilikuwepo.

Related Articles

Back to top button