Shabiki wa Simba SC Miraji amesema Meneja wa Habari na Mawasiliano wa timu yake kujiita Semaji la Caf hajakosea sasa hivi ikifika mwezi wa 10 anaenda kuwa Msemaji wa Mabara maana Rais wote wa watakuwa Benjamin Mkapa Siku hiyo hata Rais wa FIFA atauliza yule nani japo anamjua ila atajisahauliaha watamwambia huyo ni Semaji la Mabara Ahmed Ally.
Join our mailing list to get the latest news!
Related Articles
Check Also
Close
-
MUSIC VIDEO: Chiddy Mentary – MAELEKEZO2 weeks ago