HabariMichezo

VIDEO: Dakika ya 12 Mashabiki msimame mechi na Namungo- Alikamwe

@alikamwe awataka Mashabiki wa @yangasc popote watakapokuwa wanaangalia mchezo wao na Namungo FC basi ifikapo dakika ya 12 wasimame kama heshima kwa wale waliobahatika kusafiri na timu hiyo kwenda Rwanda kuwakabili Al Merrikh

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents