Muziki
Video: Davizo ft Gigy Money – Sedere
Msanii wa muziki @selektadavizo ameachia video ya wimbo wake mpya, Sedere akiwa amemshirikisha msanii Gigy Money. Muimbaji huyo ambaye yupo chini ya label ya @bundukimusic amewataka mashabiki wa muziki wake kuendelea kumfutilia kwani ana mambo mazuri yanakuja.