Promotion

Video: Fahamu sifa tatu za kipekee za toleo jipya la TECNO SPARK 2

Habari njema unayopaswa kuifahamu kwa sasa ni kwamba kampuni ya Tecno imeleta toleo jingine jipya la Tecno Spark 2 ambayo imekuja kwa utofauti kabisa.

Tecno Spark 2 inakuja baada ya matoleo mengine ya Spark kufanya vizuri sokoni. Bongo5 tuliingia mtaani na kufanya mahojiano na watumiajia wa Tecno, wengi walikubali zaidi kamera, chaji na muoneka wa simu hiyo.

Tecno Spark 2 inakuja na na kamera ya mbele yenye ukubwa wa Megapixel 8 na flash huku kamera ya nyuma ikiwa na Megapixel 13 na flash light tatu, Betri yenye ukubwa wa mAh 3,500 na muonekano wa kisasa wa uwiano wa 18:9 na kioo cha ukubwa wa inchi 6.

Related Articles

Back to top button