BurudaniHabari

Video: Fiesta 2022 kibabe zaidi – Adam Mchomvu

“Fiesta 2022 kibabe zaidi” Adam Mchomvu wa XXL akiingia makubaliano na Ping Tanzania

Ni habari njema tena kwa wapenzi wa burudani nchini Tanzania baada ya taarifa ya uwepo wa Tamasha kubwa la burudani Tanzania Fiesta 2022.

Hayo yamebainishwa na Mtangazaji @adamchomvu wa XXL ya Clouds Fm wakati wakisaini makubaliano na kampuni ya usafirishaji ya @ping_tanzania .

Mchomvu amewataka mashabiki wa burudani kuendelea kusikiliza kipindi hicho kwaajili ya madini mengi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents