Burudani

Video: Huu ni ujumbe maalum kwa walioachwa kama mimi – Diamond

Diamond Platnumz amewatia moyo mashabiki wa muziki wake ambao wameachwa na wapenzi wao. Muimbaji huyo alitumia jukwaa la uzinduzi wa albamu yake mpya ya ‘A Boy From Tandale’ na yeye kueleza hisia za moyo wake ikiwa ni miezi michache toka aachwe na mama watoto wake, Zari The Bosslady.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents