Burudani
Video: Huyu ndiye Binti wa Papii Kocha

Kwa mara ya kwanza Papii Kocha amemuonyesha hadharani binti yake ambaye alimuacha akiwa na umri wa miaka minne pindi alipoenda jela.