Habari
VIDEO: Ibenge kuifundisha Simba SC?
Kocha mwenye uzoefu mkubwa katika soka la Afrika Ibenge amefunguka kuzungumzia soka la Tanzania pamoja na kuhusishwa kwake kwenda kuifundisha Simba ambayo hivi karibuni imepata misukosuko baada ya kupigwa goli 5 na Yanga.