HabariMichezo

VIDEO: Inonga wa Simba SC amepona tayari kuikabili Al Ahly

Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally amesema kuwa Beki Henock Inonga amepona na yupo tayari huku Mlinda lango, Aish Manula naye akiwa yupo fiti ameshapona na wote hao wapo tayari kwa vita.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents