Video: Irene Robert ft Christina Shusho – Sitalia

Mwanadada Irene Robert akiwa ameshirikiana mkongwe Christina Shusho wametuletea wimbo mpya unaitwa ‘Sitalia’, video imeongozwa na na Director Joowzey, bonyeza PLAY hapa chini kutazama video hii, pia usisahau kuweka comment ili Irene akipita aone watu wameipokeaje video yake.

Related Articles

Back to top button
Close