HabariMichezo

Video: Kila mmoja anadhaminiwa kulingana na thamani aliyokuwa nayo 

”Zile zama za kuwa na mkataba ama udhamini kwaajili ya kubalansi, nikimuongezea huyu yule atakasirika zama hizo zimepita, hivi sasa kila mmoja anakwenda kudhaminiwa kulingana na thamani aliyokuwa nayo. Kwenye nchi hakuwezi kuwa na watu bora wawili, kwenye nchi lazima kuwe kuna Bora mmoja na kwa miaka ya hivi karibuni bora ni @simbasctanzania, ukitaka kuthibitisha hilo nenda katembelee page ya CAF muda huu tazama picha ya mwisho kupostiwa ni ya nani, ni ya Shomari Kapombe kutoka Simba SC,”- Meneja wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano @simbasctanzania @ahmedally_

 

Related Articles

Back to top button