HabariMichezo

VIDEO: Lindi kutikiswa na AIDS Marathon

Tume ya kudhibiti Ukimwi Tanzania imedhamiria kushirikisha jamii nzima katika mapambano dhidi ya VVU na Ukimwi kwa kuandaa mbio zinazojulikana kama ATF Marathon 2022 zitakazofanyika mkoani Lindi Novemba 27, 2022.

Mbio hizi zinalengo la kukuza mchango wa sekta binafsi na umma pamoja na mtu mmoja mmoja katika kudhibiti maambukizo ya VVU hapa nchini na kuongeza uelewa juu ya Mfuko wa Udhamini wa kudhibiti Ukimwi Tanzania (ATF) kwa wadau wa ndani ya nchi na jamii nzima kwa ujumla.

Mgeni rasmi kwenye mbio za ATF Marathon 2022 anatarajiwa kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa huku mbio hizo zikiongozwa na kauli mbiu ”Mbio za Ushindi dhidi ya VVU”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents