VIDEO: Luc Eymael atumia mpaka Vitendo kumzungumzia golikipa wa Mbeya City

Kocha wa klabu ya Yanga, Luc Eymael ameonesha kukerwa na vitendo vilivyokuwa vikifanywa na mlindalango wa Mbeya City, Aron Kalambo kwenye mchezo wao wa hapo jana siku ya Jumanne iliyomalizika kwa sare ya goli 1 – 1. Eymael aeleza kuwa kipa huyo alikuwa akijiangusha na kulala chini mara kwa mara kitendo alichotafsri kama ni kupoteza muda.

KIPA WA MBEYA CITY ALIVYOPEWA KADI KWA KUCHELEWESHA MPIRA DHIDI YA YANGA SC

“MIKIA NDUGU ZETU HAWANA FIRST 11, MORRISON amefanyiwa UNYAMA, tunaumia ,” – MASHABIKI WA YANGA

 

 

 

Related Articles

Back to top button