Habari

Video: Masanja arejea Tanzania na kupokewa na mke wake kwa furaha

Masanja atua Tanzania na kupokewa kwa furaha na mke wake, familia ya marehemu katibu yasema inamuachia Mungu

Mchungaji wa Free Church @masanjamkandamizaj amerejea usiku wa kuamkia leo nchini Tanzania akitokea Marekani na kupokewa na mke wake pamoja na marafiki zake wa karibu ikiwa ni siku chache toka katibu wake afariki kwa kujinyonga kisa penzi la mke wa Masanja.

Mchungaji huyo uso wake ulionekana kuwa na tabasamu kwa mke wake.

Kwa upande wa familia ya marehemu walikuwa wasiri sana na msiba huo.

Familia hiyo ilisema wao wanamuachia Mungu na tayari wameshampunzisha ndugu yao.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents