Burudani

Video: Mfahamu Leo Mkanyia, mwanzilishi wa Swahili Blues

Mwanamuziki wa Tanzania, Leo Mkanyia anauita muziki wake ‘Swahili blues’. Alizaliwa jijini Dar es Salaam mwaka 1981, na alianza kucheza guitar akiwa na miaka minane na baadaye kufundishwa kulicharaza vizuri na baba yake aliyekuwa akicheza muziki wa Jazz.

Tumefanya mahojiano na Leo ambaye ametueleza kwanini aliamua kuuita muziki wake Swahili Blues. Tazama mahojiano hayo ambayo utajifunza mengi kuhusiana na muziki wake unaovutia maskioni.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents