Mitindo

Video: Mrembo Queen Mugesi atwaa taji la Miss Grand Tanzania 2018

Mrembo, Queen Mugesi Ijumaa hii ameibuka mshindi wa mashindano ya Miss Grand Tanzania 2018 na kuwagaragaza wenzake wengi. Tukio hilo ambalo lilihudhuriwa na watu maalum limefanyika katika ukumbi uliopo katika hotel ya Harbour View jijini Dar es salaam.

Muda mchache baada ya mrembo huyo kuvikwa taji waliwashukuru waandaji wa shindano hilo pamoja na kueleeza mipango yake ya kuitumia nafasi hiyo kwaajili ya watoto wakike.

Related Articles

2 Comments

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents