Video: Msanii Saint Ability aachia wimbo mpya Tamu

Msanii wa muziki @saint_ability ameachia wimbo wake mpya wa mapenzi Tamu ikiwa ni siku chache kabla ya kuingia siku ya wapendanao.

Msanii huyo ameatoa ujumbe huu>>>>

Brand New Video‼️#TAMU + #SAWASAWA😍
Karata II toka kwa @saint_ability zipo tayari YouTube. Link kwa bio @saint_ability. Ahsante kwa support yako🙏🏻🙏🏻

Tamu produced by – @bonga_de_alpha & @hunternation3

#Sawasawa produced by – @seggmento
Cc: @panoramanientertainment
19m

Related Articles

Back to top button
Close