Burudani

Video: Mwana FA ni bora kwenye hip hop, Alikiba ana kipaji cha ajabu na hofu ya Mungu, Diamond ni … – Baby Jay

Baby Jay aeleza upekee wa Diamond,Mwana FA na Alikiba.

“Mwana FA tumuache awe FA, ni mkubwa sana, ndio msanii wangu bora wa hip hop kwa sasa. Alikiba ni msanii mkubwa, ana kipaji cha ajabu lakini pia ni mtu mwenye hofu ya Mungu. Diamond ni mtu fulani anapenda maendeleo, anapenda kuona watu wanafanikiwa, ana roho ya kusaidia sana”

Muimbaji huyo wa muziki kutoka Zanzibar amesema tayari amefanya kolabo na Mwana FA na anachosubiria kwa sasa ni kuingia location kwaajili ya kushoot video.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents