Video: Nikifikisha miaka 40 naacha muziki, nimejikuta sipendi maisha ya muziki – Mr Blue

Rapa @mrbluebyser1988 ameirudia kauli yake ambayo aliitoa BongoTV mwaka 2019 kwamba anaacha muziki.

Ijumaa hii rapa huyo mwenye floo za aina yake akiwa katika kipindi cha Homa Cha @efmtanzania , amesema amejikuta anakichukia kitu anachokifanya.

“Sipendi kuwa msanii, hapa nilipo nateleza na chaki tu ndo maisha yamekuwa hivyo sasa ntafanya nini?.,” Mr Blue alisema katika kipindi hicho.

“Mama hayupooo……Kwa hiyo nikifika miaka 40, nina nyimbo 100 nawaachia mziki wenu mwanangu”

Written and edited by @yasiningitu 

Related Articles

Back to top button