Habari
Video: Nilipewa chakula nikale chooni ili nipate mtoto, niliumia sana – Mgumba
Hiyo ni kauli ya Shamila Makwenjula ambaye ndoa yake ilivunjika baada ya kushindwa kupata mtoto katika miaka kumi ya ndoa yake.
Shamila ambaye ni Mwenyekiti wa Chama Cha Wagumba ikiwa ni harakati mpya za kupaza sauti ya yale wanayopitia wanawake katika ndoa ambapo amedai katika miaka kumi yake ya ndoa aliyoyapitia hatamani mwanamke yeyote ayapitie.