HabariMichezo

VIDEO: Ommy Dimpoz aitaja Simba mbele ya GSM

@ommydimpoz alivyopewa nafasi ya kuimba wimbo wa Birthday mbele ya Tajiri na Mfadhili wa Yanga, GSM akaanza na neno Simba SC kisha akadai ameumia na kumfanya bilionea huyo wa Young Africans Sports kuvunja mbavu.

“Simba oyee, bado nina maumivu ya zile tano.”- Ommy Dimpoz mbele ya mfadhili wa Yanga, GSM

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents