Mchambuzi na mwandishi wa Michezo Bongo 5 @isayah_dede18 ameshauri Mchezaji wa Simba, Willy Onana aonyeshwe Video za aliyekuwa Staa wa Klabu hiyo Emmanuel Okwi ili apate kujifunza mechi kubwa kama ile ya Power Dynamos alipaswa kucheza vipi na hata maamuzi yake yalitakiwa kuwa sahihi kwa kiasi gani ili kuamua ‘game’ badala ya kupiga chenga zisizokuwa na faida.
Join our mailing list to get the latest news!
Related Articles
Check Also
Close