Muziki
Video: Peter Lulango – Nasaidia
Msanii wa muziki wa Injili, Peter Lubango ameachia video yake mpya ya wimbo uitwao, Nasaidia. Wimbo huo umeendana sambamba na uzinduzi wa albamu yake mpya ambayo ataichia hivi karibuni.