BurudaniVideos

Video: Professor J amepelekwa rehab – Familia

“akili na kila kitu yupo sawa tatizo viungo amelela muda mrefu”

Mke wa Professor J amefafanua kauli ambayo imetolewa na familia kwamba rapa huyo mkongwe ambaye alilazwa Muhimbili kwa miezi na kuruhusiwa Ijumaa hii hajapelekwa nyumbani bali amepelekwa rehab kwaajili ya kumuweka sawa

Amefafanua kwamba kiakili yupo vizuri ila kwa sababu alilala ICU kwa miezi mitatu viungo vyake vinahitaji maezi ingawa hawajui ni muda gani afya yake itakuwa imeimarika kabisa.

Written and edited by @yasiningitu

Kuangalia matukio yote tembelea YouTube ya BongoFive

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents