Habari
VIDEO: Rais Samia Suluhu awasili Kenya
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta Jijini Nairobi na ameanza Ziara Rasmi ya siku 2 nchini Kenya kwa mwaliko wa Rais wa Kenya Mhe. Uhuru Muigai Kenyatta.RAIS SAMIA SULUHU AWASILI KENYA