Michezo
Video: RC Makonda amteua Hasheem Thabeet kuwa kiongozi wa nafasi hii
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amemteua, Hasheem Thabeet kuwa mwenyekiti wa kamati ya ujenzi wa viwanja vipya vya mchezo wa Mpira wa kikapu maarufu kama Basketball.