Burudani
Video: Saida Karoli kufuata nyayo za WCB,Kings Music
Msanii mkongwe wa muziki wa asili, Saida Karoli ameweka bayani juu ya ujio wa msanii wake atakayekuwa chini ya lebo yake ya Saida Karoli Entertment.