HabariVideos

Video: Serikali isisikilize kelele za watu wanaosema tunakopa sana – Kingwangalla

Mbunge wa Nzega (CCM) @hamisi_kigwangalla ameitaka serikali kuendelea na mchakato wake wa kuufufua uchumi wa Tanzania kupitia bajeti mpya iliyosomwa Bungeni na Waziri wa Fedha Mhe @mwigulunchemba .

Amesema serikali isiwasikilize watu ambao hawaitakii mema Watanzania.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents