Meneja wa habari na mawasiliano wa klabu ya Azam FC @Zakazakazi akiongea baada ya ushindi mnono wa mabao 5-0 dhidi ya KMC na kujibu kuhusu tetesi za klabu ya Simba kumtaka mchezaji wao Kipre JR ambaye yupo kwenye kiwango Bora kwa Sasa Zaka Amesema kama kweli wanamtaka wanatakiwa kuwa na vijana wadogo wenye miaka 22 Yani wachezaji 25 ndiyo sawa na Kipre JR mmoja maana hata Real Madrid wenyewe pia walimtamani lakini wameshindwa kumpata.
Join our mailing list to get the latest news!
Related Articles
Check Also
Close
-
MUSIC VIDEO: Momumo X Dr. Lukuwi X Chibwa – WEKA WEKEZASeptember 23, 2024 - 8:58 am
-
MUSIC VIDEO: Meek Jeddy Ft. Feko Amadan – NITASEMASeptember 21, 2024 - 5:30 am