Simba watua Kimya kimya Jijini Dar es Salaam wakitokea Zambia kwenye Mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika.
Mnyama anarudi nyumbani tayari kwaajili ya Ligi Kuu pamoja na Kumuwinda Power Dynamos katika mechi ya marudiano itakayopigwa mwezi Oktoba baada ya juzi kutoka sare ya goli 2-2 nchini Zambia.