HabariVideos

Video: Sio kila mwenye miaka 18 atalipa kodi – Waziri wa Fedha Nchemba

Waziri wa Fedha @mwigulunchemba amefafanua mjadala unaoendelea kuhusu Bajeti Kuu ya Serikali 2021/22 baada ya kuibuka sintofahamu kuhusu umri wa miaka 18 na ulipaji wa kodi.

Hayo yamejiri kwenye mjadala wa Bajeti Kuu ya Serikali ambao unaendelea kupitia mitandao ya kijamii.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents