Video: Staa wa muziki kutoka Nigeria anayeishi Sweden Anthony Sky, aachia video ya wimbo wake Kilometa

Msanii wa muziki kutoka nchini Nigeria anayeishi nchini Sweden @iamanthonysky kutoka katika lebo ya @realdefinitionmusic ameachia video ya ngoma yake mpya ya #Kilometer.

Ngoma nzima inapatikana kwenye akaunti yake ya YouTube ya Anthony Sky. Link ipo kwenye bio ya Instagram yake. Tuambie unamba asilimia ngapi jamaa kwa goma hili…?

Related Articles

Back to top button