Burudani

VIDEO: TID afunguka haya kuhusu Chid Benz ” Nikabidhiwe nimnyooshe aache Madawa”

VIDEO: TID afunguka haya kuhusu Chid Benz " Nikabidhiwe nimnyooshe aache Madawa"

Nguli wa muziki wa kizazi kipya alimaarufu Bongo Fleva Khalid Mohamed a.k.a TID amefunguka mengi kuhusiana na muziki wake pia kuhusiana na changamoto alizozipitia kuhusu matumizi ya madawa ya kulevya.
Msanii huyo amefunguka na kusema kipindi anatumia madawa ya kulevya alipoteza vitu vingi sana na anatamani kukabidhiwa rungu la kuwarekebisha wanaotumia madawa ya kulevya na alimtolea mfano Chid Benz.

By Ally Juma.

Related Articles

14 Comments

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents