Burudani

Video: Tujifunze kwa akina Mama, kurudisha furaha kwa wengine – Waziri Nape

Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye amewapongeza akina Mama kwa juhudi mbalimbali wanazozifanya katika kuleta usawa katika jamii ambapo ameyataka makundi mengine kuiga jitihada zao. Ameyasema hayo katika usiku wa utowaji wa tuzo za Orange uliofanyika, Serena Hotel Majini Dar es Salaam ambapo Wanawake katika nyanja ya muziki, filamu, habari walitunikiwa tuzo kutokana na mchango wao mkubwa kwa jamii.

“Kunatambua mchango mkubwa wa akina Mama wakufanya tuwepo, na kuendelea kurudisha furaha katika jamii. Tukio la leo ni moja ya tulio limepangwa kupeleka furaha kwa wenye changamoto ya furaha, inawezekana kuna changamoto pia katika makundi mengine lakini tujifunze kwa akina Mama,” alisema Waziri Nape.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents