Video: Ushindi una Baba na Mama na ukipigwa ni yatima, nyuma ya ushindi kuna machungu – Mwakinyo

Baada ya bondia Mtanzania Hassan Mwakinyo kuibuka mshindi katika pambano lake la weekend iliyopita, amewataka Watanzania kuwasaidia kwa vitendo wanamichezo wao kwani wanapitia mazingira magumu kuliko baada ya watu wanavyofikia.

“Ushindi una Baba na Mama na ukipigwa ni yatima wanasema hivyo, kwahiyo ushindi wako ni furaha ya watu wote lakini hawataki kujua sababu ya ushindi wake ni nini. Kwahiyo tumekosa uzalendo wa kutaka kujua changamoto za wachezaji’ alisema Mwakinyo.

Kuangalia full interview tembelea Youtube ya Bongo5

Written and edited by @yasiningitu @fumo255

Related Articles

Back to top button