Bongo5 ExclusivesBurudaniHabariMahojiano

Video ya Nitongoze ya Rayvanny, sehemu kubwa haijaendana na uhalisia – El Mando

Kupitia kipindi cha Recap na Mando @el_mando amejaribu kutoa baadhi ya kasoro zilizopo kwenye video ya NItongoze ya Ryavanny ambayo amemshirikisha aliyekuwa boss wake Diamond Platnumz.

@el_mando ameanza kwa kuisifia video kwanza na kwa namna gharama kubwa ilivyotumika kuitenngeneza video ila lakini akisema kila kitu hakikosi kasoro.

Kwa maoni yake amedai kuwa maudhui ya Nitongoze ya Rayvanny yapo kwenye mistari ya mwanzo miwili tu ambapo anasema kwenye wimo maudhui yamebebwa na mtu ambaye yupo baa anaulizia bei za bia kumbe hana hela.

Anauliza kwanini kipande kile kwenye video hakionekani ili angalau kuenndana na uhalisi wa wimbo??

 

Related Articles

Back to top button