HabariMichezo

Video: Zalan FC waapa kupindua meza kibabe vs Yanga

”Matokeo ya kesho hayatakuwa sawa na yale ya mchezo uliyopita. Tumerekebisha makosa yetu ya mechi iliyopita. Tupo tayari kwa mchezo wa kesho, matokeo ya mechi ya kesho hayatakuwa sawa na yale ya mchezo uliopita.”

Mchezo wa awali Yanga SC iliibuka na jumla ya magoli 4-0 dhidi ya mwenyeji Zalan FC ya Sudan Kusini katika dimba la Benjamin Mkapa.

Kuangalia Full Video bofya HAPA

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents