Video: Zari na wifi yake Esma wana nini?

Kichwa cha habari kisikuogopeshe.. all positive vibes kwa sauti ya Kanye West.

Inaonekana Zari the Bosslady ameweza kuiva vyema na ndugu wa ukweni kwake.

Mchumba huyo wa Diamond na aliyemzaliwa mtoto wa kike, Tiffah, amepost video kwenye Instagram wakiwa nyuma ya gari na wifi yake Esma wakifurahia wimbo wa msanii wa Nigeria, Korede Bello aliomshirikisha Tiwa Savage, Romantic.

Mrembo huyo wa Uganda yupo Dar es Salaam kwa muda sasa. Enjoy video hiyo hapo juu.

Related Articles

Back to top button