Tia Kitu. Pata Vituuz!

Vifaa vya Bilionea Jack Ma kupambana na Virusi vya Corona Afrika vyatua Ethiopia

Shehena ya kwanza ya vifaa tiba iliyotolewa na bilionea wa China Jack Ma kusaidia kupambana na maambukizi ya virusi vya Corona barani Afrika imewasili nchini Ethiopia wakati huu ambapo idadi ya maambukizi Afrika imefikia zaidi ya watu 1,000.

Kupitia Alibaba Foundation na Jack Ma Foundation imetoa msaada wa baroka (maski), vifaa vya kupimia virusi vya corona na ‘suits’ za kujilinda, kwa nchi za Afrika katika jitihada za kupambana na  janga hilo.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW