BurudaniUncategorized

Vilio na majonzi vyatawala Babu Tale akiwafariji watoto wake (Video)

Tayari safari ya kuusafirisha mwili wa mke wa Babu Tale, Shammy kwenda Morogoro kwaajili ya mazishi imeanza hapa Mikocheni jijini Dar es Salaam.

Mwili wa marehemu uliwasili mapema asubuhi na kufanyiwa ibada na baada ya hapo safari ya kwenda Morogoro ikaanza.

Babu Tale alionekana akiwa anawafariji watoto wake katika kipindi hiki kigumu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents