
Mabadiliko ya bei za mafuta nchini kwa mwezi Aprili 2026 yamechangiwa kwa kiasi kikubwa na vita inayoendelea Mashariki ya kati tarehe 28 Februari 2026.
Madereva a vyombo vya moto wametoa maoni yao juu ya bei ya mafuta iliyopanda usiku wa kuamkia Leo
Maoni gani juu ya mumuko wa bei ya Mafuta nchini??
Imeandaliwa na @samirkakaa & @johnbosco_mbanga @phirigramz




