Michezo

Vini Jr afunguka sakata la kuikataa Simba na kutua Poland

TUNABAGULIWA SANA ULAYA LAKINI TUNAVUMILIA NDIO MAISHA – VINI JR
@davidjedidiah_11  mchezaji anayekipiga katika Ligi ya Poland amefunguka mazito kuhusu ubaguzi wa rangi wanaofanyiwa kama wachezaji wakiwa Ulaya, pia amefunguka sakata lake la kuhusishwa na kutua Simba.
Kuangalia Video kamili tembelea ukurasa wetu wa Youtube Bongofive
Imeandaliwa na @witnessflavian24

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents