Michezo

Vini Jr: Ulaya tunabaguliwa sana, sema tunavumia tu

LIGI YA TANZANIA INAVUTIA ZAIDI KULIKO YA POLAND – VINI JR

@davidjedidiah_11 amefunguka juu ya ubora wa ligi anayocheza nchini Poland akiifananisha na Ligi ya Tanzania, pia ameongelea kwa uchache maisha ya mshambuliaji wa Yanga Depu wakati akiwa katika ligi ya Poland.

Kuangalia Video kamili tembelea ukurasa wetu wa Youtube Bongofive

 

 

Imeandaliwa na @witnessflavian24

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents