Mapenzi

Visa na mikasa katika mahusiano, na wewe unaweza ‘kushare’ nasi mkasa wako katika mahusiano

Kisa cha Dada Patricia.

Katika maisha kila mmoja kuna jambo ambalo anakuwa anatamani siku moja lije kumtokea, nami ndivyo ilivyokuwa baada ya upweke mara baada ya kuumizwa vikali katika mahusiano.

Jina langu ni Patricia, binti wenye umri wa miaka 28, naishi Dodoma Tanzania, nina elimu ya Chuo Kikuu nikiwa nimebobea upande wa Rasilimali Watu (HR), nimeajiriwa toka mwaka 2016.

Tangu nasoma shule msingi hadi sekondari sikuwahi kuwa na mahusiano yoyote kwani nilijituma katika masomo, mwanaume wangu wa kwanza nilikutana naye Chuo Kikuu, nilimpenda sana. Naye alionyesha kunipenda na kunijali, lakini kweli ni kwamba alikuwa na mke ambaye alikuwa anaishi nje ya Chuo.

Nilishtuka pale ambapo kila Wikiendi ambapo nilitegemea mimi na yeye tutakuwa pamoja tukitoka na kwenda kufurahi, yeye aliniaga na kuniambia anaenda nyumbani kwao mara moja na atarejea Jumapili jioni. Hali ile nilikuwa siipendi kwani rafiki zangu wakati huo ndio walikuwa wanatoka na wapenzi wao.

Basi baada ya kama mwaka mmoja na nusu wa mahusiano yetu, siku moja nilishika simu yake yeye akiwa bafuni anaoga, nilishtuka nilipokuta kuna mwanamke anawasiliana naye. Huyo mwanamke alikuwa amemtumia picha za mtoto na kuandika maneno hayo; mwangalie mtoto wako anazidi kukua, sema tu tunakumisi mume wangu.

Nilichukua namba ya yule mwanamke na kwenda kuwasiliano naye, kweli alinieleza yeye ameolewa na huyo mpenzi wangu, basi mpenzi wangu alipojua nimewasiliana na mke wake aliniambia tuachane.

Kipindi hicho niliishi nikiwa na msongo wa mawazo sana, niliingia mtandaoni kusoma namna ya kuondokana na msongo wa mawazo utokanao na mapenzi. Pia lipata wasaa wakukutana na mwanasaikolojia Dr. Kiwanga (www.kiwangadoctors.com) ambaye alimsaidia kunifungua katika mapenzi na kuwa mtu huru.

Umejifunza nini kutokana kısa hiki cha Dada Patricia, pia wewe unaweza kushare nasi mkasa mzito wa mahusiano uliowahi kukutana nao kupitia [email protected], tembelea tovuti yake; www.kiwangadoctors.com au piga simu +254 769404965 na hivi karibuni tutakuja na kipindi kabisa ambacho mwanasaikolojia wetu atakują anashauri vitu mbalimbali na kukuondoa kwenye kifungo chochote.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents