Burudani
Vituko vya Mwijaku na Baba Levo wabebana uwanja wa ndege wakibishana (Video)
Wawili hao wamesafiri na team ya @wasafibetofficial_ kwenda Qatar kushuhudia michuano ya kombe la dunia kupitia kampeni ya Wasafi Bet.
Baba Levo na Mwijaku walianza kubishana uwanja wa ndege jijini Dar Es Salaam na kuanza kubebana.